iqna

IQNA

Mashia wa Bahrain hawapewi kazi idara za serikali
Katibu Mkuu wa chama cha al Wifaq cha Bahrain amesema kuwa Waislamu wa madhehebu ya Shia na wapinzani wa utawala wa kizazi cha Aal Khalifa wananyimwa kazi katika idara za serikali ya Manama kwa sababu za kimadhehebu na kisiasa.
Habari ID: 1309363    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/03